EnglishIt comes back in the winter, but not as permanent ice, as thin ice -- vulnerable.
more_vert
Kinarudi tena wakati wa majira ya baridi, lakini sio kama barafu ya kudumu: bali barafu nyembamba.
EnglishBecause if we can get the 20 billion dollars sitting out there back, it may be far more for some of these countries than all the aid that is being put together.
more_vert
Kama tutaweza kurudisha dola bilioni 20 ambazo ziko nje, litakuwa jambo zuri sana kwa baadhi ya nchi hizi kuliko misaada yote ikiwekwa pamoja.